Swahili
Home » Balozi wa Rwanda California ametoa uito kuhudhuria uchagusi wa urais
HABARI

Balozi wa Rwanda California ametoa uito kuhudhuria uchagusi wa urais

[xyz-ihs snippet=”google”]

Balozi Mukanatabana ametoa uito kwa raia wa Rwanda ambao wanaishi mataifa mengine kwa ajili ya uchaguzi wa rais unawo tarajiwa mwezi Agasto 2017.

Alisema hayo akiwa mjini Davos , jimbo la California, akiwakumbusha kuwa ni vema kukumbuka nchi ya ukoo ambapo kila mtu alizaliwa kwani ni vizuri kushiki uchaguzi wa urais.

Miaka tatu nenda ndipo raia wa Rwanda walimusihi Rais Kagame kuwania mhura mwengine wakihamasisha kwa kura ya ndio, ikimaanisha kuwa wakaaji wa Rwanda wanapenda kuongozwa wakiwa na amani pia usalama.

Aliendelea na kusema kuwa kuchagua ni uwajibu wa kila raia wa Rwanda, kwani mambo ya uchaguzi ni muhimu kwa wakaaji wote wenye ukoo wa Rwanda.

Kwenye maongezi hayo balozi alikuwa pamoja na mshauri mkuu wa ubalozi huko Marekani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com