kwamamaza 7

Balozi wa Italia pamoja na Polisi ya Rwanda wamefanya mkataba kwa ajili ya usalama

0

Mwakilishi wa Italia hapa Rwanda anaye kua na kikao Ugana, balozi Domenico Fornara, tarehe 24 Januari 2017 ametembelea polisi ya Rwanda kwenye kikao kikuu Kacyiru na alipolkelewa na kiongozi mkuu wa polisi  Inspector General of Police (IGP), Emmanuel K. Gasana.

Katika ziara yake Rwanda, balozi Domenico alisindikizwa na balozi wa Rwanda nchini Uganda, balozi Frank Mugambage.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alipo kuwa na maongezi na utangazaji habari, baada ya kuongea na kionggozi mkuu wa polisi, balozi wa Italia amesema kuwa nchi zote mbili zilikuwa na uhusiano mwema, sherti uhusiano usonge mbele pakiwemo na kusaidiana kwa ajili ya usalama na alifurahia jinsi alivyo pokelewa Kigali. Alihamasisha pia jinsi mkataba wa usalama utatiwa mkazo katika nchi hizo mbili na uhusiano mwema.

Polisi ya Rwanda na ya Italia katika miezi nenda, walisaini mkataba wa umoja kwa kazi, katika elimu njema pande zote mbili katika ngazi tofauti walizo zifikia.

Mkataba huo ni kwa ajili ya kupiganisha wanamgambo, usalama wa barabarani, kuzuia maandamano, kuwania vitendo vya usalama ulimwenguni, usalama wa ndege angani, uendesha mashtaka kupitia teknolojia na mengine.

Huu ndio mkataba wa kwanza kwa ajili ya usalama kutiwa mhuri na pande zote mbili.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.