kwamamaza 7

Balozi Munyabagisha ameteuliwa kuwa mwenye kiti wa kamati Olemike ya Rwanda

0

Leo juma mosi tarehe 11 Mach kwenye kikao cha Lemigo Hotel palifanyiwa uchaguzi wa kamati Olempike ya Rwanda (CNOSR), na balozi Munyabagisha Valens akateuliwa kuwa mwenye kiti akachukuwa nafasi ya Robert Byigamba.

Matokeo ya uchaguzi:

Mwenye kiti : Munyabagisha Valens, sauti 43/ 45

Makamu mwenye kiti wa kwanza: Rwemarika Felicite 43 / 45

Makamu mwenye kiti wa pili: Bizimana Festus 42 / 45

Katibu mkuu:Bizimana Dominique  42/ 45

Muweka hazina: Ingabire Alice

Washahuri: E’gairma Hermine sauti 35, Nzabanterura Eugene sauti35.

Muchunguzi wa mali : Umwari Josette 45 /45.

Mteule mwenye kiti mpya, Munyabagisha  aliwashukuru walio muchagua, makundi ya ukoo wao, na anahamasisha kuendelea kujenga akianzia kwa yale yalio fikiwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.