Home HABARI MPYA  Baba wa Jenerali Kayumba Nyamwasa afariki dunia
HABARI MPYA - April 5, 2018

 Baba wa Jenerali Kayumba Nyamwasa afariki dunia

Baba wa Jenerali Kayumba Faustin Nyamwasa, Mzee Ferediriyani Senumuha ameaga dunia.

Taarifa za Chimpreports zimeeleza huyu mzazi ameaga dunia kutokana na matatizo ya  moyo leo tarehe 5 Aprili 2018 mjini Kampala.

Hiki chombo cha habari kimetangaza kwamba wanafamilia wake wamehakikisha kuwa marehemu atazikwa Wilayani Wakiso nchini Uganda alipokuwa akiishi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

The deceased was among the refugees who fled Rwanda in 1956 before settling in the western part of the country.Pia hawa wamesema inawzekana bin Senumuha,Jenerali Kayumba nyamwasa atakuja kuzika baba yake kutoka nchini Afrika Kusini anakoishi ukimbizini.

Marehemu Senuhuma ni mmoja mwa wakimbizi waliotoka nchini Rwanda mnamo mwaka 1956 na kusihi magharibi mwa nchi.

Msiba huu umetokea wakati ambapo bin ze Jenarali Kayumba nyamwasa akiwa ukimbizini na Luteni Kanuni Rugiganangabo akiwa gerezani nchini Rwanda.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.