Swahili
Home » Baba mzazi wa muimbaji  Social Mula afariki dunia
BURURUDANI

Baba mzazi wa muimbaji  Social Mula afariki dunia

Baba mzazi wa muimbaji  Lambert Mugwaneza maarufu kama Social Mula  kwa jina la Claudien Munyaneza ameaga dunia jana kufuatia ugonjwa wa ini.

Social Mula ametangaza kuwa alimtemebelea mzazi wake alipokuwa hospitalini ya jeshi la Kanombe mjini Kigali.

Social Mula kupitia instagram ameandika”Kumbukumbu hazipotei,Pumzika kwa amani babangu,siwezi kusahau upendo wako”.

 

Hili ni baada ya mama mzazi wa mpenzi wake kufariki siku chache zilizopita

[xyz-ihs snippet=”google”]

Muimbaji amebaki na mama yake Ilumine Mukabandora na nduguze watatu wanaoishi huko wilayani Gicumbi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com