kwamamaza 7

Baada ya miaka 5 akiachana na wanamgambo wa FDLR anamusifu Mungu

0

Hakizimana Bahati Jean Bosco anayejulikana kwenye jina ya usani kama “pasta Bahati” yupo na ukoo wa wilaya ya Nyabihu ameifanya albumu ya nyimbo za kumsifu Mungu.

Hakizimana ameshinda miaka tano baada ya kuachana na wanamgambo wa FDLR wanaoishi katika misitu katika nchi ya Congo, ambao walihusika na mauaji ya Kimbari nchi Rwanda mnamo mwaka wa 1994.

Pasta Bahati ni mshiriki wa kanisa la kipantekote (ADEPER) katika wilaya ya Nyabihu ametoa albumu yenye kuundwa na nyimbo 13 zenye ujumbe wa kuwaita wanyarwanda kuishi maisha ya uhusiano mwema.

bahati1

Alipokuwa porini kila saa na dakika alikua akiomba ili aweze kuondoka katika maisha hayo mabaya ambayo walikua wakipatwa na magonjwa bila matibabu, wengi walikua wakifariki, na hapo ndio alitoa naziri akisema wakati atakapo toka katika maisha hayo atamtumikia Mungu, hasa amehakikisha kutoa naziri alio ahidia , anamtumikia Mungu kwa nyimbo za kumusifu ambazo zinatoa ujumbe wa kuwa uhusiano mwema kama vile husema imvahonshya.

[ad id=”72″]

Aliongeza kwamba hata huko msituni walikua na kundi kubwa la watu 100, walikua wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu, na anasema kwamba atafanya hata nyimbo nyingi za kutoa mwito kwa wale ambao wangali msituni ili kurejea kwa sababu ni amani nchini Rwanda.

Uwanzwenuwe Theoneste kiongozi wa wilaya ya Nyabihu naye husema kwamba msanii huo ni kielelezo kwa watu wote kupitia ujumbe wa kujenga umoja anaoutoa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.