kwamamaza 7

Baada ya mhula wa tatu, rais Nkurunziza atawania mhula 4 Burundi

0

[ad id=”72″]

Mapema sana Rais Nkurunziza yupo tayari wakati wowote kuongoza  na kutawala nchi ya Burundi kama katiba inamuruhusu kuketi kwenye madaraka tena.

Mukumbuke kwamba alipo amua  kuwania muhula wa tatu ndipo hali ya migogoro ya gasi nchini Burundi ilisababisha mauaji mno na wengi wakawaa wakimbizi katika mataifa jirani hata kati ya nchi.

Kinacho shitusha ni kwamba wakati alichukuwa madaraka iliyo sababisha mauaji alikuwa amesema kwamba atatawala hadi 2020.

Ijuma tarehe 30 Disemba ndipo rais Nkurunziza alisema kwamba hatawakosea raia wa Burundi wakatai wakahitaji yeye kuwania mhula wa inne.

Na kwa mwisho amesema kwamba tangazo la kuwania mihula ama utawala nchini Burundi itatolewa siku za usoni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.