Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame aliwakumbusha wanyarwanda ya kuwa si vema kufanya biashara nje ya nchi na bado nchi kujitoshelea, aliwaomba kufanya mamba mengi tena mema ili kutoshelea soko ya ndani Rwanda.

Haya ni mamoja kati ya yale rais Kagame alitoa leo tarehe 7 februari 2017 alipo tembelea sehemu ya viwanda katika wilaya ya Gasabo, eti “tunaombwa kufanya vitu vizuri, vyenye usamini, hayo yatatupa kupambana kwenye biashara ya ndani Rwanda hata kimataifa”.

Rais Kagame aliwaomba wafanya biashara wa ndani kutia bei nafu ili wakaaji wapate kujisikia huru kwa kuuza, kwa kuwa yanatengenezwa kwa ajili ya wanyarwanda kiisha wa kimataifa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliwaambia wafanya biashara ya kuwa serikali itakuwa karibu kwa kuwasaidia ila nao wameombwa kufanya huduma njema ili kupata mafanikio, wanayo yafanya katika viwanda ni kwa ajili ya maendeleo ya Wanyarwanda.

Mwaka nenda, wafanya biashra wa Rwanda, Kenya na Uganda walisema ya kuwa wakati moto wa umeme unapatikana kwa bei kali, na mambo ya viwanda huwa na bei kali pia.

Serikali ya Rwanda imekubali kupunguza bei ya umeme hadi 50%  kwa sababu kuwa bwawa nyingi mpya ambazo hujengwa na itakuwa chanzo cha kuongeza mapato kwa viwanda vya Rwanda.

Mapato ya yaliyotoka katika viwanda mwaka wa 2010 ilikuwa 13%, mwaka wa 2015 ilikua 15%, hitaji ni kuwa kwa mwaka wa 2017 iwe imefikia 17%.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.