kwamamaza 7

Baada ya kumuua Osama Bin Laden, mwanao husakwa na Marekani

0

[ad id=”72″]

Wizara za upelelezi Marekani wamesema kua kwenye orodha nyeusi , Hamza Ben Laden,kijana wa marehemu Bin Laden kama mmoja wa wanamgambo wenye kuwa kwa orodha hio.

Orodha hio imetangazwa jana tarehe 5 Januari 2017 kua Hamza Ben Laden mwenye umri wa miaka 25 kua yupo katika vitendo vya ukaidi wa al-Qaida, ambavyo hutekelezwa kufanywa Marekani na mahali pengine ulimwenguni.

Mwaka wa 2014, Hamza bin Laden ndipo alikubali kua mmoja wa  al-Qaida na Ayman al-Zawahiri, aliye kua mwakilishi baada ya Marekani kumua babae mzazi.

Mwaka wa 2011, ndipo jeshi kali la Marekani waliua Osama Bin Laden, kabla ya kutangaza kama kijana huu ni mgaidi na yupo tayari kulipiza kisasi kwa ajili ya baba yake.

Marekani husema kwamba mbele Osama kuawa , kijana huo hakuwa katika kundi la magaidi, ila kwa sasa anaonekana katika vitendo vya al-Qaida katika nchi tofauti, na Marekani humuwinda kama paka na panya.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.