kwamama 6

Rais Kagame atua nchini DRC

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo atahudhuria mazishi ya Etienne Tshisekedi wa Mulumba. Kupitia ukuta wa Twitter wa Ikulu ya Rwanda, inatarajiwa kwamba  Rais Kagame atazungumza na…