Swahili
Home » Australia:Mji wa Sydney na Melbourne ingali hatarini siku za usoni
KIMATAIFA

Australia:Mji wa Sydney na Melbourne ingali hatarini siku za usoni

Mji wa Sydney na Melbourne/Picha:Intaneti

 Miji miwili mikubwa zaidi nchini Australia yaani Sydney na Melbourne itakuwa hatarini miaka 50 ijao kutokana na joto la kiwango cha juu kulingana na utafiti.

Watu wengi wakipomzika mjini Sydney/Picha:Intaneti

Miji hii inatarajiwa kukumbwa na janga hili licha ya kasi ya kuongezeka kwa joto duniani kudhibitiwa na mkataba wa Paris wa kuzuia kuongezeka joto kwa viwango visivyozidi nyusi joto mbili

Taarifa za BBC,idhaa ya Kiswahili zinasema kwamba kuzuia kuongezeka joto chini ya viwango hivyo kunaweza kuzui viwango hivyo kufika nyusi joto 50, kwa mujibu wa wanasayansi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mji wa Sydney ulifikia nyusi joto 45.8 mwaka 2013 huku Melbourne nao ukafika nyusi joto 46.4 mwaka 2009.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Utafiti huo ulitangazwa maeneo ya Victoria na New South Wales, lakini watafiti wanasma kwamba sehemu zingine za Australia pia zitaathiriwa.

Kati ya miaka iliyokumbwa na joto la juu zaidi duniani ni mwaka 2015.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wa watafiti Dr Lewis, alisema kuwa miji hiyo itashuhudia nyusi joto 50 kati ya mwaka 2040 na 2050.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msimu wa joto wa hivi majuzi nchini Australia ulivunja rekodi 205 huku msimu wa baridi ukiwa wenye joto zaidi kwa mujibu wa baraza huru la hali ya hewa nchini humo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwezi uliopita watu nchini Austalia walionywa kujiandaa kwa mto mkali wa nyika mwaka 2017-2018.

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com