kwamamaza 7

Askari wa RDF wenye kuwa utumwani walikumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi

0

Askari jeshi na askari polisi wa Rwanda wenye kuwa katika utumwa wa kuzingatiya amani Sudani ya Kusini walijiunga pamoja na Wanyarwanda wenye kuwa katika nchi hiyo, marafiki pamoja na wafanya kazi wa umoja wa mataifa katika tendo la kukumbuka mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mara ya 23.

Tendo hilo kashiriki watu tofauti pakiwemo makamu mtume wa umoja wa mataifa Sudani ya Kusini, Mustapha Soumare, makamu Jemadari mkuu wa jeshi la UNMISS, Maj Gen Yang Chaoying na mwakilishi wa Sudani ya Kusini Gen Matier Deng, pia Lt Col James Burabyo mwakilishi wa balozi wa Rwanda katika Uganda na Sudani ya Kusini.

Makamu ya umoja wa Mataifa Sudani Kusini Mustapha Soumare amewafariji wanusra wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi. Aliendelea na kusema kuwa watu zaidi ya milioni moja kupoteza maisha huonyesha kushindwa kwa umoja wa mataifa.

Mwakilishi wa balozi wa Rwanda na akiwa mshauri katika mambo ya kijeshi, Lt Col James Burabyo, alisema tendo la kukumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi hufanywa kila mwaka na namna ya kuwapiganisha wenye kuwa na itikadi ya mauaji ya kimbari na wanaochochea ubaguzi. Aliendelea na kusema akiomba umoja wa mataifa kuwa na ushirikiano na Rwanda katika mpango wa kupiganisha wanaokana mauaji ya Kimabri.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.