Siku ya Ijuma tarehe 20 Januari 2017, ndipo askari wa Burundi kaelekea Jamhuri ya Centrafika katika utumwa wa amani.

Col Gaspard Baratuza, amesema kuwa askari hao wametumwa kurudisha amani Centrafrika ni 850 na watakwenda kwa kundi 4 kwa muda wa mwaka moja.

Kundi la kwanza limekwenda na ndege ya “Éthiopian Airlines”, wakiwa 188 kwenye uwanja wa ndege Bujumbura pamoja na vikapo vyao.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Hata kama askari wa Burundi huendelea kwenda utumwani kwa niaba ya amani, siku nenda ilikuwa ikisemwa kuwa wenzao ambao wapo Somalia walifanya miezi kazaa bila kupata mishahara yao, na ilifika muda serikali ya Burundi ikaamua kuwatosha huko.

Balozi Smail Chergui, anaye husika na usalama katika umoja wa Afrika, kwenye ziara ya kazi Burundi, katika maongezi na makamu wa Rais Burundi, Gaston Sindimwo wamepatana kuwa askari ambao wapo Somalia watapata mishahara yao ya miezi 12, na mpango wa kuwatosha Somalia ukasimamishwa.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina