kwamamaza 7

Askari jeshi wa Rwanda wameanza kiwatibu walio nusurika mauaji ya Kimbari zaidi ya 900

0

Walio nusurika mauaji ya Kimbari dhidi za Watusi katika wilaya ya Ngororero wanafurahia matibabu walio fanyiwa na askari jeshi wa Rwanda, wakisema ni tendo maalum ambalo huongezeka kwa uokoaji walio fanyiwa na jeshi la taifa.

Tendo hilo la kutibu, jeshi husaidiana na watalamu kwa kutibu magonjwa tofauti kutoka katika hospitali ya Kanombe, hivi sasa wapo katika hospitali ya Muhororo wakitibu wanusurika wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

Munganyimana Azela, anasema ya kuwa wanaamini uponyaji kwa kuwa wanapokelewa vizuri na furaha, anashukuru kwa kuwa askari jeshi wamewakuta mahali wanapo ishi.

Lt. Col. Rwema Frank, mtalamu kwa kutibu magonzwa ya kinywa, ila kwa sasa anahusika na vitendo vya kuwajongeleshea raia utibabu kati wiki ilio itwa Army week, amesema ya kuwa katika wilaya ya Ngororero kuna wagonjwa 909 walio nusurika mauaji ya Kimbari na wapo tayari kuwapokea na kuwatibu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jambo lingine ni kwa kuwa hao wote watakao pata matibabu wanahitaji kufualitiwa na watatiwa kwenye orodha na watafuatiliwa katika hospitali ya Kanombe wale ambao wanakutwa wakihitaji matibabu zaidi.

Matendo hayo ya Jeshi la Rwanda ya kutibu wakaaji katika juma la army week, yalianza mwaka wa 2012, wakijali sana kuwatibu walio nusurika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi wasio jiweza na wakisaidiwa na FARG ili wahusika wote wasipitiwe.

Hivi moja ya pili ya walio kuwa na magonjwa ya upeke wamepata matibabu kupitia wauguzi maalum kutoka hospitali ya askari Jeshi ya Kanombe.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.