kwamamaza 7

Askari jeshi wa Burundi wameshambuliwa tena na Al Shabab

0

Tarehe 7 Februari 2017 ndipo askari jeshi wa Burundi wenye kuwa katika utumwa wa amani Somalia walishambuliwa na wapiganaji wa Al Shabab wawili wakapoteza maisha, 12 wakajeruhiwa.

Jeshi la Burundi wao wanasema ya kuwa kweli walishambuliwa na tisa ndio walijeruhiwa vikali ila wanakanusha ya kuwa hakuna wana jeshi walio fariki dunia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa jeshi la Burundi Col Gaspard Baratuza aliwaambiya wana habari wa Burundi ya kuwa Al Shabab ilishambulia jeshi lao huko Somalia usiku wa juma nne.

Alisema kwamba mapigano kati ya Al Shabab na jeshi la Burundi ilifanya muda wa dakika karibu 20 na husemwa ya kuwa lengo la Al Shabab ilikuwa ni kuharibu uchaguzi Somalia.

Tarehe 17 Septemba 2009, Al Shabab iliwashambulia jeshi la Burundi wenye kuwa utumwani Somalia, na wengi walipoteza maisha zaidi ya 50, na shambulio hilo ni historia ambo haitasaulikana katika jeshi la Burundi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.