kwamamaza 7

Askari jeshi wa Burundi Major Karashira alipigwa risasi na akafariki

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Major Dieudonné Karashira, askari jeshi wa Burundi ambaye alikua katika kambi la Mutakura alipigwa risasi na askari mwenzake na akafariki.

Taarifa ambayo hufikia bwiza.com husema kuwa askari huo alipigwa risasi tarehe 25 Januari 2017, wote wakiwa ndani ya kambi ya Mutakura.

Huyu ambaye alipiga lufaya ya risasi Major Dieudonné Karashira hakutajwa jina lake, na husemwa ya kuwa alimupiga risasi wakati Major alikua akumufuata kumushika kufuatana na mwenemndo wake mbovu.

Askari huyu alipo maliza piga risasi aliingia ndani ya nyumba na kufunga milango, ila askari wengine walifanya mbinu wakamushika.

Jeshi la wa Burundi wanasema kuwa taarifa hio ni kweli, ila wasema kwamba ilikua ajali na wanaendelea na upelelezi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.