kwamamaza 7

Asilimia thelathini za Wakimbizi asili ya DR Congo katika Kambi ya Kiziba wajiandikisha kurudi kwao

0

Wizara ya Wakimbizi na Majanga(MIDMAR) imetangaza asilimia thelathini za Wakimbizi asili ya DR Congo katika kambi ya Kiziba wameisha jiandikisha kurudi kwao.

Waziri makamu kwenye hii wizara,Olivier Kayumba alhamisi alielezea Tume ya bajeti na mali kuwa hawa wakimbizi wameonyesha hamu ya kurudi kwao hata kama usalama haujapatikana vizuri.

“Wakimbizi walisema wanataka kurudi kwao,UNHCR imeanza kuwaandika wanaotaka kurudi.Kutoka kesho kuna takwimu kuwa asilimia 30 walijiandikisha”

Bw Kayumba alieleza Rwanda inatarajia kujadiliana na DR Congo namna ya kuwahamisha raia wake maeneo yenye usalama.

Hawa wakimbizi walionyesha hamu ya kurudi nchini kwao baada ya wenzao 11 kufariki wakati wa maandamano mwezi Februari.

Hivi Karibuni,Serikali iliwafunga wakimbizi 44 kwa kuwashtaki kudharau sheria za ndani.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.