kwamamaza 7

Asakari jeshi kwenye maandamano wakidai kupewa mishahara yao

0

Juma tatu tarehe 14 Novemba 2016 askari jeshi wa Congo waliingia barabarani kwa maandamano kwa ajili ya kuomba serikali mishahara yao, wakidayi miaka tatu, wengi miezi kumi na moja.

Mumoja aliezungumza na redio okapi amesema kwamba myezi kazaa bila kupokea mishahara yao, akisema ni lazima rais Kabila atatuwe shida hilo la mishahara, anasema kwamba walitoka Bandundu, Equateur na wako wahali pengine wakifanya kazi ya serikali kwa maisha mabaya zaidi.

Wengi wasema kwamba tangu mishahara yao ianze kupita kwenya akaunti za benki, waambiwa kwamba hawapo kwenye sisteme ya mishahara na wanakosa wafane nini.

Major Ndjike Kaiko yeye asema kwamba askari hao ambao waliandamana walikoseya wakati walipofanyiwa cheki ya maisha bora kwa sababu cheki hiyo ndio ungeliwaruhusu kupata mishaharsa yao.

Askari jeshi hao walioandamana ni wenye bataliyani ya 34 wenye kikao katika muji wa Goma katika kivu ya Kasikazini.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.