kwamamaza 7

Anitha Pendo ayapinga maoni ya mtume Dkt. Gitwaza kuhusu uchaguzi wa mister Rwanda

0

Mtangazaji Anitha Pendo ameweka wazi kutokubaliana na maoni ya mtume Dkt. Paul Gitwaza ambaye tarehe 4 Machi 2018  aliwauliza wafuasi kwa nini hakuna Mister Rwanda.Gitwaza alitangaza hili baada ya kumkaribisha Miss Rwanda 2018 Liliane Iradukunda.

Anitha Pendo asubuhu hii ya terehe 7 Machi 2018 ameeleza kuwa hili haliwezekani kwa kuwa hayupo Miss World wa kiume.

“Haviwezekani,mliwahi kusikia miss world wa kiume lakini kuna miss world wa kike”Anitha amesema.

Pengine Anitha amependekeza wanaloweza kufanya  wale ambao wanataka kumchagua Miss Rwanda wa Kiume.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Wanaotaka kumchagua Miss Rwanda wa kiume wanaweza kumchagua huko tarafani na kata”ameshauri

Mtume Dkt. Paul Gitwaza alitangaza kuwa kanisa lake kwa jina la Zion Temple litaandalia mashindano ya Mister kwa kuwa kuna wavulana watanashati humo.

Hata hivyo, wengi mwa Wanyarwanda wanatangaza kutoelewa umuhimu wa uchaguzi wa Miss Rwanda kwa kueleza kuwa tukio hili ni kuharibu mali ya umma.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.