kwamamaza 7

Amechomwa akiwa hai baada ya kuwaua watoto wake

0

Raia wa sehemu ya Ituri huko DRC wamekamata mwanaume na kumuchoma kwa moto akiwa hai kwa kua amewaua watoto wake wawili wa wasichana kupitia upanga.

Idrissi Koma kiongozi wa Ituri amesema kwamba huyu ambaye amechomwa kwa moto alikua amefanya miezi inne akitoka gerezani na hapo mke wake na ndie mama wa watoto alikuwa akinyanyaswa na kusema wakati alikua gerezani mke huyu alikuwa akizi na wanaume wengine.

Kwa hasira nyingi alipomkosa mke wake ili amharibu kwa sababu alikimbia, aliwavamia watoto na kuwakata kwa upanga pakiwemo mmoja aliyekua akitoka shuleni hasa mke yeye angali hai.

[ad id=”72″]

Raia walipoona hayo walimshika na kumpiga magongo ila hawakutosheka ndipo wakamshika na kumtia hadharani na kumchoma kwa moto kama vile husema radio Okapi.

Mwezi Agosti mtu mwengine pia aliuawa baada ya kupigwa vikali huko kusini mwa Bunia jimbo la Ituri, kiongozi wa Ituri anahamakia mauaji hayo akisema kwamba vijana ndio walimkamata kama mwivi na kumharibu vikali sana.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.