kwamamaza 7

Amavubi kuitwanga Libya licha ya shinikizo

0

Kocha wa timu ya kandanda ya Rwanda Amavubi,Mjerumani Antoine Hey ametangaza kwamba kuna matumaini ya kushinda timu ya Libya ili kuhitimu robo ya michuano ya CHAN 2018 hata kama kuna shinikizo kwa wachezaji wake.

Kocha huyu ametangazia Ruhago yacu kuwa mchezo hautakuwa rahisi kwa kuwa Libya ni timu nzuri  ila watafanya lolote kupata ushindi kesho usiku.

Haitakuwa rahisi,inatubidi kuwa tayari lakini nina imaani wachezaji wangu watafanya vizuri hata kama kuna shinikizo”amesema Hey

Antoine Hey ameongeza kuwa wachezaji wote wangali vizuri isipokuwa Micho Justin ambaye anaumia kidogo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huu ni mchezo maalum.Hakuna kitu chochote tunachozingatia isipokuwa kushinda mchezo huu na Libya”amesema mchezaji Marcel Nzarora.

Amavubi alitoka sare na Nigeria kisha akashinda Equatoriale Guinea goli moja kwa nunge.

Bonyeza BWIZA TV kupata habari  na nyimbo mpya

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.