kwamamaza 7

Aliyekuwa Mlinzi wa Rais Kagame anyoshewa kidole “Aliungana mkono na Jen. Kayumba Nyamwasa”

0

Taarifa zimetiwa wazi kwamba aliyekuwa Mlinzi wa Rais Kagame alikuwa akiungana mkono na Kiongozi wa chama cha upinzani  RNC na wanamgambo wa FDLR.

Chombo cha habari nchini Rwanda, Igihe ni kwamba  huyu alikuwa Muunganshi wa operesheni za  RNC nchini Uganda.

Hizi taarifa zimeeleza alianza hii kazi baada ya kutoroka jeshi la Rwanda.

Ikumbukwe kwamba  mahakama ya Kijeshi nchini Rwanda ilisema kulikuwa uthibitisho kamili wa huu uhalifu kupitia ujumbe wa Watsupp, Skypee na ujumbe wa kawaida.

Imejulikana kwamba  huyu alikuwa katika mkutano wa FDLR na RNC uliotokea baani  Mamba Point Bar mjini Kampala ambako kuliandaliwa mashambulizi ya grunedi mjini Kigali.

Luteni Joel Mutabazi alikamatwa na kurudishwa kwa nguvu nchini Rwanda mwaka 2013.

Alihukumiwa kufungwa maisha jela juu ya kuwa na hatia ya uhalifu wa kulenga kuharibu usalama wan chi kwa kuungana mkono na wanamgambo wa FDLR na RNC.

Kwa  upande mwingine, Msemaji wa Polisi nchini Rwanda, CP Theos Badege alisema jambo hili lilifuata sheria za kimataifa.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.