kwamamaza 7

Aliyekuwa mke wa Katauti amtisha mumewe kuoa wanawake wengine

0

Aliyekuwa mke wa Hamadi Ndikumana  Katawuti,Irene Uwoya maarufu kama Oprah nchini Rwanda ameweka wazi kwamba hataki mumewe kwa sasa, Msaani Dogo Janja kufunga ndoa na wanawake wengine.

Irene Uwoya amezunguma kuhusu hili baada ya kuziona habari zimetapaka katika mitandao kuhusu mradi wa mume we  kutaka kufikisha idadi ya wake wanne katika ndoa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Irene Uwoya ameandika kwenye Instgram” Ndoutajua mimi kabila gani…thubutu owone tena wasikudanganye”

Kwa upande mwingine,Msaani Dogo Janja alitangazia Radio huko nchini Tanzania kwamba ana mpango wa  kuongeza mke wa pili hadi wanne kila baada ya miaka 10.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.