kwamamaza 7

Aliye kuwa msingi wa mchezo wa baiskeli ameaga rais Kagame kabla ya kurudi kwao

0

Alikuwa kiongozi wa kituo cha mazoezi Musanze “Africa Rising Cycling Centre” akiwa tena yeye ndiye aliendelesha mchezo wa kushindana kwa baiskeli Rwanda, Jonathan Boyer anakwenda kurudi kwao Marekani ila aliahidi msaada wake kwa ajili ya mchezo wa baiskeli Rwanda.

Tarehe 23 Mach 2017, Jonathan Boyer akiwa pamoja na waziri wa michezo, Uwacu Julienne na kiongozi wa chama cha ushirika wa mchezo wa baiskeli Rwanda, “FERWACY”, Bayingana Aimable, walipokelewa na Rais Kagame katika ofisi yake.

Waziri Uwacu alisema ya kwamba Jonathan Boyer anarudi kwao ila hamalizi kazi kwa kuwa ataendelea kusaidia Rwanda katika mashindano ya baiskeli.

Waziri Uwacu alisema kuwa  Jonathan Boyer anakwenda Marekani kujaribu kutumikisha ujuzi alio nao na watu kwa kujulikanisha Rwanda kupitia mchezo wa baiskeli na kutafuta misaada kwa ajili ya kituo hicho cha mazoezi cha Musanze. Aliendelea na kusema ya kwamba katika mashindano tofauti atakuwa akionekana pamoja na timu ya taifa.

Kiongozi wa FERWACY, Bayingana Aimable alisema ya kwamba waliambia rais Kagame mpango walio nao kwa kuendelesha elimu katika mazoezi kupitia vifaa vinavyo patikana Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika kituo cha mazoezi cha Musanze “Africa Rising Cycling Centre” wameteua kiongozi makamu Mutabazi Richard aliye kuwa katibu mkuu katika chama cha ushirika wa mchezo wa basketball Rwanda “FERWABA”, kama vile husema imvahonshya.

Aliendelea na kusema ya kwamba haitaharibu kitu kwa sababu alikua ameaga kazi aliyo kuwa nayo ya Never Again Rwanda.

Bayingana amesema kuwa kocha Sterling Magnell na wengine wenye kuhusika na mambo ya kiufundi watabaki katika huduma zao, inatarajiwa kwamba Jonathan Boyer ataondoka mwanzo wa mwezi ujao April 2017.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.