kwamamaza 7

Aliye kuwa kiongozi wa wilaya ya Gicumbi na makamu wake wametiwa mbaroni

0

Alexandre Mvuyekure aliye kuwa kiongozi wa wilaya ya Gicumbi, makamu wake wawili na katibu mtendaji wa wilaya wametiwa mbaroni kwa ombi la mahakama makuu ya Rwanda.

Msemaji wa polisi ya Rwanda, ACP Theos Badege alisema ya kwamba Mvuyekure amefungwa pamoja na wengine ila hakusema majina yao, na wote walikamatwa kwa ombi la uwendesha mashtaka.

Uwendesha mashtaka wa Rwanda hauja sema lolote kuhusu taarifa hio hata kama kuna juhudi la kujua  taarifa hio kama vile husema umuseke.

Taarifa husema ya kuwa huo aliye kuwa kiongozi wa wilaya yupo pamoja na Fidel Byiringiro aliye kuwa katibu mtendaji wa wilaya ya Gicumbi, Therese Mujawamariya alikuwa makamu kiongozi ahusikaye na maisha bora ya raia pamoja na Stanislas Kagenzi aliye kuwa makamu kiongozi aliye husika na maendeleo ya uchumi, na wote wanafungiwa Kigali na wanashutumiwa kupana kazi kinyume katika miradhi tofauti ya maendeleo ya wilaya.

Julai mwaka nenda Alexandre Mvukiyehi alitiwa mbaroni akishutumiwa kuharibu mali ya serikali. Na wakati huo alikuwa pamoja na Phocas Mukunzi aliye husikana kundi la uongozi katika wilaya ya Gicumbi. Walishutumiwa uharibifu wa mali wa Umurenge Vision Program(VUP) karibu miliyoni 33 965 175 wakitumia vitambulisho fojali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarehe 28 Januari 2016 kamati hii walionyesha waliyo yafanya katika miaka tano, aliye kuwa mwakilishi kamati ya washauri hakufurahia usamini wa viongozi hao kwani hawakuwa na mawasiliano, walitafuta faida zao na ndani mwao kulionekana ubaguzi wa mahali.

Mvuyekure alteuliwa kuongoza Gicumbi mwaka wa 2012 na kuachiliya uongozi mwaka wa 2016.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.