kwamamaza 7

Alikubali kuwa ndiye aliua mke munusra wa mauaji ya Kimabri dhidi ya Watusi

0

Kwenye kikao cha polisi Kacyiru, alihamisi Majyambere Bertin alikubali kuwa ni yeye alimuua Ilibagiza Christine aliye uawa katika tararafa ya Niboye wilya ya Kicukiro, alisema kuwa baada ya kuua Christine aliua tene mwengine tarehe 24 April na asanasema hata leo alikua na mpango wa kuua mwengine mtu.

Tarehe 13 April ndipo taarifa alisambazwa na kusema kwamba Ilibagiza Christine munusra wa mauajai ya Kimbari dhidi a Waatusi ameuawa akinigwa kwa kamba. Hapo polisi ilianza upelelezi, leo wameonyesha waume watatu na mke mmoja wanaoshutumiwa mauaji hayo.

Majyambere Bertin alikubali kuwa alimuua Christine akisaidiana na mwenzake Hatangineza Ismael Hassan.

Majyambere alikuwa alifunguliwa kutoka gerezani tarehe 9 April na alikuwa akishutumiwa kumuua nduguye na anasema kuwa alikuwa na lengo la kuwaua watu 1000.

Huwo anayekubali mauaji anasema kwamba si mara ya kwanza kuua mtu, anahakikisha kuwa hata leo angeua mtu, na tarehe 24 April alikuwa ameua mwengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Maneno yake yalitisha wanahabari sana eti “Yule ambaye ningemuua leo anaokoka kabisa”.

Msemaji wa polisi ya Rwanda, ACP Theos alisema kuwa muda huu hakuna anaye weza kusema kwamba kifo cha Christine kinahusiana na itikadi ya mauaji ya Kimabari.

ACP Badege amesema kuwa Majyambere Bertin pamoja na Hatangineza Ismael Hassan mpango wa kuua Iribagiza walipangilia katika gereza ya Gasabo walipo fungiwa mmoja akishutumiwa wizi mwengine mauaji.

Hata kama wote wawili wanakubali makosa yao watafikishwa mahakamani ili wasambishwe dhambi ya mauaji wanayo shutumiwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.