17 Sep 1976, Dar es Salaam, Tanzania --- Pres. Julius K. Nyerere of Tanzania at news conference at State House in Dar es Salaam. --- Image by © Bettmann/CORBIS

Mwalimu Kambarage Julius Nyerere alisema kuwa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 ni matokeo ya viongozi ambao hawakutimiza wajibu wao kama vile kujenga umoja wa wananchi kwa kuwa viongozi waligawa raia kwa kutumia ‘ukabila’.

Rais Nyerere alihakikisha kwamba ukabila ni moja mwa  njia za viongozi ambao walishindwa kutimiza madaraka yao kwa njia rasmi huja wakatumia dini ama ukabila na kuwa haina budi kuwanyima masikio vongozi wa namna hii kwani watu watagawanyika.

Rais Nyerere alisema” Rwanda pale mwaka jana waliuana sana,watu wale wazee msidhani ni makabila mawili mbalimbali,kuna wanaitwa Wahutu na Watutsi.Ni Wanyarwanda tu,Ni Wanyarwanda”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Nyerere kwa kutoa mfano wa Bukoba ambako kulikuwa mzozano wa Wanyoza na Waziba wakati wa uchaguzi kuhusu mgombea Benjamin Mkapa,alisema kwamba hakuna sifa za ukabila nchini Rwanda na kusisitiza kwamba raia waote ni Wanyarwanda.

“Wote ni Wanyarwanda,lakini wapo Watutsi na Wahutu.Si makabila, za kabila lazima ziwe na lugha yake,hakuna lugha pale inaitwa Kitusi au kingine kinaitwa Kihutu hata kidogo, Lugha yao ile ile Kinyarwanda,Kabila huwa na ardhi yake,hakuna huku kwa Watutsi na huku kwa Watutsi”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwalimu Nyerere alieleza kuwa hili lilisababishwa na  uongozi ambao ulitaka kuwaongoza raia kwa kutumia ujanja.

Ukipita uongozi uliotaka kuongoza kwa janja unawagawa,umekuta hawa ni Wahutu hawa ni Watutsi, walitenganishwa”.

Mwalimu Julius Nyerere alikuwa mtetezi wa umoja hadi alipoiunganisha Tanganyika na Zanzibar,ila alikuwa na lengo la kuunganisha Kenya,Uganda,Tanganyika na Zanzibar.

Chimbuko:youtube channel:RDI-RWANDARWIZA

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.