kwamamaza 7

Al Shabab imeonyesha namna ilivyo muua askari jeshi wa Uganda mwaka jana

0

Wapiganaji wa Al Shabab wametoa kanda ambayo huonyesha wazi jinsi walivyo muua mwanajeshi wa Uganda aliye kamatwa mateka wakati walishambulia kambi lao nchini Somalia mwaka jana na jina lake ni Masasa.

Mbele ya kipigwa lisasi kichwani, wapiganaji wa Al Shabab walimukazia kusoma ujumbe ambao ulikua wa kusema kama Uganda ilikwenda Somalia kutafuta pesa,

Katika ujumbe huo, jeshi huu alitoa uito kwa wanajeshi wenzake wa Uganda kubaki nchini kwao na kutokubali kwenda tena Somalia, eti : “yawezekana hata kupata mshahara hata ukiwa Uganda”.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Kanda hii niya tatu ambao Al Shabab hutoa, ya kwanza alikua akiomba msaada rais Museveni, ya pili alikua akitoa salamu kwa mke wake Eve Achan na watoto wake.

Musemaji wa jeshi la Uganda, Lt Col. Paddy Ankunda, mwaka jana alisema kuwa walikua wakichunguza la kufaya kuhusu kanda hizo.

Baada ya shambulio hilo la Al Shabab kwenye kambi la UPDF sehemu ya Janaale, aliyekuwa jemadari, Gen. Katumba Wamala aliunga kundi la upelelezi kwa ajili ya hilo shambulio na kuongozwa na Brig. Jack Bakasumba, na kwa mwisho waligundua kua viongozi wao walizubaa na kutosimama hodari.

Upelelezi pia ulionyesha kua katika kambi hilo palikuwemo wanajeshi wa Uganda 200, na wapiganaji wa Al Shabab walikuwa wengi kati ya 350 na 500.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.