kwamamaza 7

Afrika: Marais watano walioongoza nchi wakiwa na vyeo vya juu katika jeshi

0

Siku zilizopita Barani  Afrika  kulijitokeza nchi ambazo marais wake walikuwa na vyeo vya juu katika  jeshi.Mala nyingi,jambo hili liliwezekana kupitia mapinduzi.

Kwenye orodha hii kuna:

  1. Meja Jenerali Juvenal Habyarimana

Juvenali Habyarimana alikuwa Rais wa Rwanda tangu mwaka 1973 hadi 1994.Alipindua serikali ya  Gregoire Kayibanda akiwa na cheo cha Meja.

Huyu ni Afisa wa kwanza wa Rwanda mwaka 1963 alipokuwa Luteni.Nambari yake katika jeshi la Rwanda ni 001.

4.Abdel Fattah El-Sisi

Abdel Fattah,63,ni Rais wa Misri na Mkuu wa Jeshi tangu mwaka 2014.Huyu ana cheo cha ‘Marshal’ katika jeshi la Misri.

3.Omar Al-Bashir

Omar Ahmad Al-Bashir ni Rais wa Jamhuri ya Sudani tangu mwaka 1989.Alipindua serikali alipokuwa na cheo cha Kanuni.Kulitolewa hati za kumkamata kutokana na mashtaka ya kuwaua wakazi eneo la Darfur.Kwa sasa ana cheo cha Marshal.

2.Marshal Idi Amin

Id Amin alikuwa Rais wa Uganda mwaka 1971-1979 akiwa na cheo cha Meja Jenerali.Alijipa cheo cha Marshal na majina mengine kama vile DC,VC,Life President,Dr.Ali Hadji na mengine.

Alifariki mwaka 2003 ukimbizini nchini Arabia Saoudite.

1.Marshal Mobutu

Mobutu Sese seko Kuku Ngendu  wa za Banga aliongoza DR Congo mwaka 1965-1997.Alikuwa na cheo cha Marshali katika jeshi.Mobutu alifariki kwa Kansa mwaka 1997 nchini Moroco.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.