Swahili
Home » Afrika ikiwa nchi,Rais wake ni Paul Kagame
HABARI MPYA KIMATAIFA SIASA

Afrika ikiwa nchi,Rais wake ni Paul Kagame

Kwa mujibu wa taarifa za Metrodakar,uchaguzi uliotokea kupitia intaneti kwenye mtandao wa Deutsche Welle nchini Ujerumani,viongozi wakitaja anayeweza kuongoza Afrika inapokuwa nchi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wengi mwa viongozi hawa 90% wamejibu kuwa Rais wa jamhuri ya Rwanda,Paul Kagame anaweza kuongoza Afrika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakieleza sababu za majibu yao,wamefafanua kuwa rais Kagame anastahili nafasi hii kwa kuwa ndiye rais peke barani mwa Afrika ambaye hana vikwazo na wapinzani wake husika na matumizi ya mali ya nchi,rushwa na mengineyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwingine aliyetajwa ni rais wa Senegal,Mheshimiwa Macky Sall akiwa na kura mbili tu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com