kwamamaza 7

Afrika haiwezi songa mbele bila amani na usalama-Rais Kagame

0

Rais wa jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame jana alipokea kundi la wahusika na amani katika jamii ya Umoja wa Afrika AUPSC, katika mkutano ambao huwa kila mwaka mjini Kigali.

Aliwaambia kuwa ni lazma kila mmoja ajali maendeleo ya Afrika wakizingatia yaliyo fikiwa kupitia kulinda na kuzingatia amani.

Eti “ Bila usalama na amani hakuna maendeleo, ni sherti tutafute la kufanya ili bara letu lisonge mbele kupitia yaliyo jengwa mwanzo”.

Rais aliwaambia kuwa Afrika haitasubiri mambo kutoka mataifa mengine, bara hili haliwezi kata tama na kubaki nyuma.

Rais Kagame alisema pia kuhusu mabadiliko katika AU, yaliyofanywa na wajuzi akiwaongoza ili kuzua bara la Afrika.

Inatarajiwa juma pili rais Kagame atapokea mawaziri wa mawasiliano na mataifa wa nchi za Afrika, watazungumzia jinsi ya kuharikisha mabadiliko na ujenzi upya wa Afrika.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.