kwamamaza 7

Afariki akielekea hospitali mjini Kigali

0

Innocent Hakuzimana, 42, amefariki alipkuwa akielekea hosptali CHUK Mjini Kigali.

Wanafamilia wake wameambia Gazeti la Igihe kwamba alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu.

Shahidi, Faustin Bizimana amesema: “ Tumemuona ghafla ameanguka, tulipomgusa tumeona kwamba ameifa aga dunia.”

Mwili wa malehemu umepelekwa Hospitali Kacyiru kufanyiwa uchunguzi wa chanzo cha kifo chake.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.