kwamamaza 7

ACP Theos Badege ateuliwa tena kuwa msemaji wa polisi

0

Polisi ya Rwanda imefanya upangaji mpya katika uongozi wa idara tofauti. ACP Theos Badege aliyewahi kuwa msemaji wa polisi, ameteuliwa tena kwa msimamo huo alipotoka baada ya kupewa kazi ya kuongoza idara ya uchunguzi wa uhalifu (CID) mnamo mwaka wa 2013.

Taarifa kutoka polisi ya Rwanda husema kwamba Badege amehamishwa kuwa msemaji wa polisi na kamishona wa uhusiano wa umma.

[ad id=”72″]

ACP Twahirwa celestin ambaye alikuwa msemaji wa zamani wa polisi amebadilishiwa majukumu na kupewa kazi ya kuongoza idara ya Community policing.

Badege alikuwa msemaji wa polisi hadi 2013 alipoteuliwa kuongoza idara ya uchunguzi wa uhalifu (CID) na mrithi wake alikuwa ACP Damas Gatare.

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.