kwamamaza 7

Jeshi la Rwanda lalaani kuna vita nchini

0

Jeshi la Rwanda mkoa magharibi kusini limedai hakuna vita nchini.

Kwenye mazungumzo na wakazi Wilyani Rusizi, Jen. Alexis Kagame  ambaye ni Kiongozi wa jeshi huko, amekanusha habari kwamba kuna vita nchini Rwanda kwa kusema haya ni fununu.

Jen. kagame amesema kuna fununu za vita  kutokana na yaliyotokea Wilayani Nyaruguru ambako  wanamgambo wa FLN walijigamba kushambulia.

“ Mambo ni shwali…hakuna woga kwa wakazi,kuna fununu kwenye mitandao lakini kuna usalama kutoka Rubavu hadi huku”

Kagame amehamasiasha wakazi kuendelea na kazi zao za kila siku kwa kuwa  hakuna suala la usalama na kutolegeza kwa kuwa adui yupo nchini Burundi na DR Congo.

“ Lazima watu wasilegeze…kuna watu wanaotaka kushambulia nchi. Kuna FDLR na CNRD”

Meja Jen. Alexis Kagame amehakikisha mpaka ya Rwanda ina ulinzi wa Kutosha na kuwa Rwanda itaendelea kusonga mbele kama kawaida.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.