kwamamaza 7

Uganda: Wawili wanaotuhumiwa kuwa wafuasi wa Jen. Kayumba wakamatwa

0

Maafisa wa usalama wa ndani nchini Uganda (ISO) wameweka wazi ijumaa wiki iliyopita wilayani Kakumiro, waliwakamata Abdul Karim Niwamanya na Abdul Safari wanaodaiwa kuwa wanachama cha Jen. Kayumba Faustin Nyamwasa(RNC).

Hawa walikamatwa juu ya mashtaka ya kuharibu usalama wa Uganda na kulenga kuvamia Rwanda

Mzazi wa mmoja mwa waliokamatwa ameeleza haiwezekani mwanawe kuwa na uhusiano na vitendo vya kuharibu usalama.

“ Inawezekana je mwanangu kuhusiana na vitendo vya wanamgambo,itabidi viongozi kutuonyesha walipofungiwa” ameelezea Dailymonitor  Ahimbisibwe ambaye ni baba mzazi wa Niwamanya.

Kiongozi wilayani humo, Lule Senkungu ameeleza amewasiliana na waziri wa usalama na kuwakuta waliokamtwa ni hai

Mkuu wa Polisi wilayani,  Hassan Katumba Mugerwa amesema hakujua kuhusu hii operesheni.

Pamoja na hayo, watu wawili walikamatwa wilayani Kakumiro kwa kusajili wakimbizi katika jeshi linalolenga kushambulia Rwanda.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.