Home HABARI MPYA Burundi: Gen.Generose Ndendanganya aeleza anavyohusisha kazi yake na kutimiza wajibu wa mwanamke mwenye ndoa.
HABARI MPYA - KIMATAIFA - October 10, 2017

Burundi: Gen.Generose Ndendanganya aeleza anavyohusisha kazi yake na kutimiza wajibu wa mwanamke mwenye ndoa.

Gen.Ngendanganya ni mmoja mwa wanawake wawili katika polisi ya Burundi wenye cheo cha General.Akizungumza na BBC,alieleza namna ambavyo anahusisha kazi yake kama kiongozi mkuu wa uongozi na usimamizi wa mali katika polisi ya Burundi na wajibu wake kama mwanamke aliyefunga ndoa.

Mwanamke huyu ameleza kuwa alijiunga na wanamgambo mwaka 1995 na kupamabana katika vita hadi mwaka 2005 palipotiliwa saini kwenye mkataba wa amani mwaka 2005.

Gen.Ngendanganya ameleza kuwa kazi yake haiwezi kuwa kipingamizi kwa kutimiza wajibu wake na kuwa anapokuwa nyumbani anafanya kazi sawa na zile za wanawake wengine kama vile kupika chakula,kusaidia watoto wake na mumewe na mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nafanya kazi kama za wanawake wengine,wenzangu hawaniogopi,tunahojiana ili kujenga jamii”ameleza Ngendanganya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Gen.Ngendanganya alikuwa katika jeshi la CNDD-FDD lililoikomboa nchi baada ya miaka kumi mwituni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.