kwamamaza 7

2020: Huduma zote Rwanda zitatolewa kupitia teknolojia– Rais Kagame

0

Katika mkutano wa Uchumi ulimwenguni, WEF 2017, ambao hufanyika mjini Davos , Uswisi, Ras Kagamae alifafanua namna gani mwelekezo 2020 huduma zote nchini Rwanda zitakua zikitolewa kupitia teknolojia.

Tareke 17, rais wa Rwanda aliongelea kuhusu vitendo vya kusambaza teknolojia ya kibiashara nchini kote ili kila mtu apate taarifa kwa muda (ICT) “Innovations to Connect the Unconnected”. Amesema pia kua imeonekana wavi kua teknolojia ni kitu muhimu kwa kutoa huduma na maendeleo kwa ujumla.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Eti “ICT ni njia pana, haiko mapambo, inaonekana wazi kua ni muhimu kwa wakaaji, ni kitu ya samani kwa ajili ya maendeleo. Pasipo downpipe iliyo haraka na bei nafu njia ya kuacha umasikini itazoofika katika karne hii”.

Rais Kagame aliwafasiria waliokua katika mkutano wa WEF kua Rwanda na nchi zingine za Afrika kama watafikia maendeleo wakiwa na siasa iliyo imara, na kuwapa usamini wafanya biashara wa kimataifa bila kukata tamaa.

Kaongeza tena na kusema kuwa katika 2020, Rwanda itakua na njia kubwa ya teknolojia, na kila raia atahudumiwa kupitia teknolojia ilio haraka sana.

Mkutano wa WEF 2017 umewakutanisha viongozi maalumu hapa ulimwenguni karibu 3.000, pakiwemo maraisi, mawaziri, viongozi wa viwanda vya biashara, vongozi wa mabenki, viongozi wa kimataifa na wengine, wataongea namna ya kupandisha uchumi na maisha ya wanao ishi duniani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.