kwamamaza 7

2017: Hatutakubali kitakacho rudisha nyuma tulio yafikia- Rais Kagame

0

[ad id=”72″]

Kwa neno la kufunga mwaka wa 2016, rais wa Rwanda Paul Kagame amewaombia rai wa nchi kupana msaada na mafikara kwa ajili ya kuijenga nchi na kuelewa na fasi ambapo hawakufurahia, amesema pia kwamba nchi ipo na amani tena wenyeji hawatavumilia anayetaka kurudisha nyuma walio yafikia.

Kasema eti “raia wa Rwanda, marafiki wa Rwanda nawasalimu nikiwatakia mwaka mwema wa 2017, kama vile tuliyarudilia kwa siku chache nenda, kila rai wa Rwanda sherti atoe afanye yawezekanayo kwa niaba ya kujenga Rwanda”.

Ni uajibu wa kila mtu kuomba mafasirio kwa yale haelewi na kupana maoni ili kusahihisha mambo yaende vizuri zaidi.

Tutafika mbali tutakapo hitaji kama tunaungana mikono, tukiheshimiyana na upendo kwa nchi yetu kama vile msingi wa maendeleo na hatuakubali kile ambacho kitaturudisha nyuma.

Yaweza kuwa makosa kama tunapunguza hatua tukisema tuliyafikia mengi zaidi ambayo hatukutarajia. Hasa tusonge mbele tufike mbali zaidi kwa hali zote.

Nawatakia tena mwaka mpya wa mafanikio na familia zenu. Asante.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.