Ziara ya mwanasiasa na mpinzani wa serikali ya Joseph Kabila nchini DR Congo,Moise Katumbi nchini Rwanda wiki iliyopita imeanza kuzusha ghasia mitandaoni hasa Twitter.

Baadhi ya hawa raia wa DR Congo wameanza kumuandikia wakimuuliza anaishi wapi kwa kiasi cha kutojua mchango wa Rwanda katika ghasia za kisiasa zilizoko nchini yake.

Ghasia hizi zimezuka kama alivyokuwa akitaraji tajiri Katumbi aliposema ziara yake inaweza kuwapa fursa ya kusema mengi kwani hawapendi Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Kwa sasa niko nchini Rwanda,wataleta mastaka mengi kwani hawapendi Rwanda” Katumbi alisema

Taarifa za Jaune Afrique zilisema Katumbi haogopi Kabila na kuwa ataenda kushindana naye katika ugombea wa rais tarehe 23 Disemba 2018.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ikumbukwe kwamba Moise Katumbi alikalibishwa kwa nderemo,hoihoi na vigelegele na shangwe na raia wa DR Congo kutoka Uganda,Burundi na DR Congo baada ya kukimbia nchi mwaka 2015.

Moise Katumbi,54, alikuwa mjini Kigali kwenye mkutano wa Ibrahim Governance Weekend.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.