BURURUDANI

Zari amuaga Diamond Platnumz

Sikukuu ya wapendanao  kwa upande wa Zari The Bosslady na Diamond Platinumz   imegeuka shubiri.

Hili ni baada ya Kupitia mtandao wa Instagram, Zari kuthibitisha kuwa ameamua kumwagana na bosi huyo wa WCB ambaye tayari wamefanikiwa kupata watoto wawili kwenye mahusiano yao.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo aliyoiandika, Zari ameonyesha kuchoshwa na habari za kusalitiwa na mzazi mwenzake huyo kila kukicha.

Kupitia mtandao huo, Zari ameandika:

Ujumbe wa Zari Hassan

“Ni vigumu kwangu kufanya hili.Fununu nyingi zimejitokeza,baadhi yake zikiwa na uthibitisho kwenye vyombo vya habari.Kwa sikitiko nimeamua kumaliza uhusiano kati yami naye.Tumeachana kama enzi siyo kama wazazi(…)”.

Haya ni baada ya taarifa nyingi kuenea kwamba Diamond anafanya ngono hadi alipobatizwa”fahari la wilaya” .

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top