HABARI

Zaidi ya nyumba 70 zimechomwa na raia kwenye maandamano

Sehemu ya Gulu, mangharibi mwa nchi Uganda, wakaaji walichoma kwa moto nyumba zaidi ya 70 walipo fanya maandamano wakijidoga kuwa mahakama ilimuacha huru na raia walikua wakimushtumu maovu.

Hivi watu wengi sasa wapo inje kwani nyumba zao zilizojengwa na nyasi zimechomwa na wale ambao husema walikua wakilipiza kisasi.

Hii kulipiza kisasi ni baada ya vifo ya watu tanu mwanzoni mwa mwezi huu wa januari, serikali iliwakamata watu wakishutumiwa kuhusika na hayo maovu.

Jana tarehe 25 Januari 2017 ndipo mmoja wao washutumiwa ajulikanaye kwa jina la David Livingstone Lakony aliachiliwa na mahakama ya Gulu, ila wakaaji wa sehemu hio hawakufurahia maamzi ya mahakama na ndipo nao wakachoma nyuma sehemu anapoishi kwa kulipiza kisasi.

Kiongozi wa Gulu, John Bosco Okullu alisema kuwa wale ambao walikua wakichoma nyumba, walikua wakianza kutowa inje wenyeji na mafugo yao kwa nguvu na ndipo wanachoma kwa moto.

Wakaaji walifanya hayo kwa ajili ya kuonyesha serikali ya kuwa David Livingstone mushutumiwa wa mauaji pamoja na wengine, yeye alipana pesa ili kuachiliwa huru, maamzi hayo hawakuyafurahiya.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top