kwamamaza 7

Zaidi ya elfu moja ya mabaki ya miili ya wanyarwanda huhifadhiwa ujerumani

0

Zaidi ya elfu moja ya mavufu ya vichwa na mifupa huhifadhiwa ujerumani mjini Berlin katika nyumba za makumbusho. Mifungo hio ilitoka kwa miili ya raia wa Afrika ya mashariki waliofariki hasa hasa nchini Rwanda, ambayo iliperekwa kwa niaba ya utafiti wa sayansi.

Mabaki ya miili aliperekwa wakati wa ukoloni. Mifungo 1,003 ilitoka Rwanda na mingine 60 kutoka Tanzania.

Kinasia habari ARD huripoti kwamba imepata orodha ya mabaki ya miili inayohifadhiwa katika jumba la kuhifadhi utamaduni na urithi la Prussian (Prussian Cultural Heritage Foundation) inayoongozwa na shirika la nyumba za makumbusho.

[ad id=”72″]

Kiongozi wa jumba la kuhifadhi utamaduni na urithi, Hermann Parzinger aliambia ARD kwamba haina tatizo lolote la kuwarudishia mabaki hayo ya miili kama huripotiwa na Daily Nation.

Ujerumani umewahi kuwarudishia mabaki ya miili na mafuvu ya vichwa 20 ya wanasili nchini Namibia.

Kwa kujaribu kuuliza wizara ya utamaduni na michezo kama inaweza kuomba mabaki hayo ya miili ya wanyarwanda, Waziri Uwacu Julienne hakupatikana kwa simu kwani alikuwa katika mkutano.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.