kwamamaza 7

Yaliyo katika soko la usajili -Orodha ya sajili 10 muhimu

0

Leo hii tovuti yako ya habari ya swahili.bwiza.com inakuletea mapya katika usajili ambapo tunaangazia usajili upi uliokamilishwa mpaka siku hizi ambako timu nyingi ziko pilika pilika za kujiandaa misimu ya michezo ya mwaka kesho.

Hapa tunakuletea orodha ya usajili kumi muhimu uliogharimu fedha nyingi nchini Uingereza ambayo ni ligi yenye mashabiki wengi kuliko zote duniani.

  1. D. Klaasen 16 Juni 2017

Ajax kwenda Everton M 27 €

  1. J. Pickford 15 Juni 2017

Sunderland Kwenda Everton M 28.5 €

Jordan Pickford

8.M. Keane 03 July 2017

Burnley kwenda Everton 28.5  €

7.Victor Londörf 15 June 2017

Benefica kwenda Manchester United M 35€

Victor Lindof

6. Antonio Rüdger 09 Julai 2017

Roma kwenda Chelsea M 35€

Antonio Rudiger

5.Ederson Moraes 01 Juni

Benefica kwenda Manchester City M 40 €

Ederson Moraes

4.Mohamed Salah 22 Juni 2017

Roma kwenda Liverpool M 42 €

Mohamed Salah

3.Bernardo Silva 27 Mei 2017

Monaco kwenda Manchester City M 50 €

Bernardo Silva

2. Alexandre Lacazette 05 July 2017

Lyon kwenda Arsenal 53€

Andre Lacazette

1.Romelu Lukaku 12 July 2017

Everton kwenda Manchester United M87€

Romelu Rukaku

Ikumbukwe kwamba usajili unaendelea na kutatarajiwa bila shaka kuingia kwa wachezaji kwenye timu na wengine kwenda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.