BIASHARA

Wendesha mashua ziwani Kivu walalamikia bei ndogo ya usafirishaji

Wendesha mashua ziwani Kivu wameweka wazi kutofurahia bei ya usafirishaji,jambo linalozuia maendeleo ya vyama vya ushirika vyao.

Mmoja wao,Daniel Mudaheranwa ametangazia VOA kuwa hawakuongeza bei ya usafirishaji kulingana na  bei ya mafuta inavyongezeka.

Tulianza kazi mafuta yakiuzwa kwa frw 600, sasa ni frw 1030 lakini sisi hatukuongeza bei ya usafirishaji”amesema Daniel.

Huyu ameitaka serikali kuwasaidia kama wanavyosaidia wengine wanaotoa huduma za usafirishaji nchini.

Msemaji wa Rwanda Utility Regulation Authority (RURA),Anthony Kuramba amesema kuwa kunatarajiwa kulitatua suala hili na kuwataka wendesha mashua kufanya kazi zao vilivyo wakati ambapo kunatafutwa suluhuhisho.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top