HABARI MPYA

Waziri wa utawala wa nchi kwa serikali ya Rwanda ya ukimbizini ajiuzulu madarakani

Waziri wa utawala wa nchi kwenye serikali ya Rwanda ya ukimbizini,Daniel Nduwimana amejiuzulu madarakani leo tarehe 16 Novemba 2017.

Kupitia barua aliyomuandikia Rais wa serikali hii,Padri Thomas Nahimana na waziri mkuu wake ameleza kuwa amejiuzulu madarakani ya kuwa waziri wa utawala wa nchi na mkurugenzi wa kamati ya usalama wa serikali kwa ajili zake binafsi.

Kwa ajili zangu binafsi na baada ya kufikiria vya kutosha,nimeamua kuijuzulu madarakani”ameandika Daniel Nduwimana.

Nawatakia kazi njema”ameongeza.

Hili ni baada ya aliyekuwa mwendeshamashtaka mkuu wa serikali hii,Abdallah Akishuli kujiuzulu hivi karibuni.

Serikali hii ilianzishwa tarehe 20 Februari mwaka 2017 nchini Ufaransa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top