HABARI MPYA

Waziri Kaboneka ahuzunishwa na vinywaji bandia kwa jina ‘Utuyuki’

Waziri wa utawala wa nchi Francis Kaboneka amehuzunika kwa ajili  ya kinywaji bandia alichokuta kijiji cha Gashingiriro,tarafa ya Cyuve wilaya ya Musanze.

Waziri Kaboneka akionyesha viongozi wenzake kinywaji bandia

Katika ziara yake ya kuanzisha msimu wa kilimo 2018A katika tarafa ya Nyange waziri Kaboneka amekikuta kinywaji bandia  kilichokuwa kikiuzwa na kukimwaga.

Wengi wameshangazwa na kinywaji hicho kilichovutia mno nzi kinyume na madai ya muuzaji aliyekuwa akisema kwamba kinywaji chake ni chai.

Haya ni maisha ya wanadamu unayochezea kwa kudanganya kuwa hiki ni chai”amesema waziri Kaboneka.

Muuzaji wa kinywaji hiki kwa jina la Nsanzimana amekamatwa hapo hapo.

Kinywaji hiki kilienea kwa kuuzwa popote nchini kwa fedha frw 200-500.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top