kwamamaza 7

Wawili wakamatwa kwa kujiita polisi ya nchi mjini Kigali

0

Polisi Mjini Kigali imewakamata watu wawili wanaodai ni polisi halafu waakawaangamiza waendesha baiskeli na wa piki.

Msemaji wa Polisi Mjini Kigali, CIP Marie Gorette Umutesi amesema hawa wamekamatwa baada ya habari zilizowasilishwa mmoja waliyemkamata.

“ Walimkamata na kumomba fedha, alipowauliza ni watu gani wakasema ni polisi lakini wakashindwa kumuonyesha vitambulisho vyao,” CIP Umutesi amesema

“ Wanakuja wakakusanya pikipiki na baiskeli zetu. Mmoja alikuwa akijiita Afisa mwengine akisema kuwa anaitwa Afande.” Mwendesha piki piki ameambia gazeti Igihe

Kwa sasa, wawili wamefungwa kwenye kituo cha polisi cha Kanombe wakati wa upelelezi.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.