kwamamaza 7

Watu wenye majembe makukuu na mipanga wawakata watu watatu kaskazini Magharibi mwa Rwanda

0

Watu sita wenye majembe makukuu na mipanga jana usiku walishambulia shule la Sekondari la Jenda Wilyani Nyabihu na kumkata mno mlinzi na wapishi wawili.

Wahalifu hawajajulikana bado  kama inavyohakikishwa na Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Jenda, Kampire Georgette ila mmoja mwa  watuhumiwa maarufu kama Kazungu amekamatwa.

“ Watu sita wameshambulia wakiwa na mipanga, majembe makukuu na kumkata mlinzi na mpishi mmoja kisha mmoja akakimbia.”  Kampire amesema

Kwa sasa, hawa watatu wamelazwa hazanati ya Jenda. Hili ni baada ya mwanamume mmoja kuwakata ng’ombe 12 wa mkazi wa Wilaya ya Nyabihu.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.