kwamamaza 7

Wanyarwanda  waishtaki Uganda mahakamani

0

Wanyarwanda Ezechiel Muhawenimana na mkewe Dusabimana Esperance pamoja na wametangaza kuishtaki Uganda juu ya kuwafunga “kinyume na sheria”.

Familia hii inaomba fidia ya $100,000 kwa kushtakiwa kuingia nchini Uganda kinyume na sheria wakati ambapo walitumia mpaka rasmi.

Walitangazia magazeti nchini Rwanda kuwa walifungwa waliopkwenda Uganda kumzika mwanafamilia wao.

Mwingine ni Musoni Hakolimana  Venant ambaye anaomba fidia ya $ miliyoni moja.

Mwanasheria wao, Richard Mugisha amesema atawakilisha hawa wananchi kwa bure kutokana na msimamo wa mashtaka yao.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.