HABARI MPYA

Wanyarwanda saba wafukuzwa nchini Tanzania

Watu 94 wakiwemo Wanyarwanda saba wamefukuzwa nchini Tanzaniya juu ya kuishi nchini bila vitambulisho rasmi.

Afisa wa uhamiaji wa eneo la Kilimandjaro,kaskazini  mwa nchi, Albertine Rwelamira ametangazia The East African kwamba miongoni mwa hawa kuna waliohama nchini Tanzaniya tangu mwaka 1972.

Hili ni baad ya Wanyarwanda kufukuzwa nchini za Afrika mashariki kama vile Uganda,Burundi.

Pamoja na hili,Ofisi ya uhamiaji imesema kwamba watakaotimiza vitambulisho rasmi wanarukhusiwa kurudi nchini Tanzaniya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top